No.Haihusiani na hili kabisa.Ufukunyuku wangu tu kwenye comments za watu ndio chanzo,kuna watu unazoeana kwa muda mfupi na wanapotea jumla.Nitaileta baadaePole sana andjul ningejua nisingeyaleta humu maana kuharibu mood kuirudisha kazi sana pole
No.Haihusiani na hili kabisa.Ufukunyuku wangu tu kwenye comments za watu ndio chanzo,kuna watu unazoeana kwa muda mfupi na wanapotea jumla.Nitaileta baadae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]
Huko hatuendi waatatuchelewesha tu. wanalalikia nini hasa?Nendeni jukwaa la malalamiko mkajionee
Nisipo Ku "gonga" nikumbusheGonga mama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itabidi uumize akili sana ku relate na tukio fulaniPoa ukiileta unitag plz . ubuyu mtamu