How was your lunch?Good afternoon my dear
Imekuwa vurugu
Yego. Kulitokea nini? Kukwazana ni kawaida. Cha muhimu ni kusameheana na kusonga mbele. Plizi usiondoke katika uzi huu !!!I didn't like of what happened! I'm not that kind of a guy! Niko JF since 2009 sijawahi kupata ban wala warning!
Hapa ni kugongana tu mimi na ww. [emoji23] [emoji23]Nisipo Ku "gonga" nikumbushe
mkuu naona upo lonley[emoji4] [emoji4]carbamazepine weekend hii hebu jitokeze[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Ndio nimeingia humu nasikia amepotea huyu
Watu wanahesabu
AMUN RAAMUN RA
Buzitata bwana. Mimi nilikuwa nachukulia hesabu kama gemu fulani hivi na kamwe sikujua umuhimu wake mpaka baadaye sana.1+1=1
Let
Sinq/cosq=1
And cos'h/h=1
Apply
From 1+1=1
Sinq/cosq + cos'h/h=sinq/cosq
But cos'h/h it can be negleted..so unaiondoa tu coz haina dhaman
Unabaki na....
Sinq/cosq=sinq/cosq
Dhaman ya sinq/cosq=1
...1=1 hence proved
Kuna watu nimewaokota hapo hawaelew kitu
To you too my sweetheartGood afternoon my dear