Mtegemea nundu haachi kunona.Speed 120
nipo quigleyJmn umeadimika
But every dog has a d!ckLife is a bitch
Leo sikuoniNimerudi
"Mlamba asali, halambi mara moja"Naanza kwa speed ya light kuchalaza like tu
25k
Heri moja kamata kuliko kumi njoo kesho"Bora nusu kitumbua mkononi, kuliko kitumbua kizima jikoni."
Na nyuka tu.Nyuka hahahaha
LikesLikes
Kabisa, tupo fiti kukumwagia likeNatumai mmeamka salama
Zaidi ya pesa za escrowKama hela za escrow
kweli...Hata kama pesa ni chanzo cha maovu,kuwa maskini wa kipato sio utakatifu.
"Masikini ukimpa nyama awagawie wenzie itamuozea mkononi""Aridhikae na umasikini wake, ni tajiri wa ajabu."
"Mchimba kisima huingia mwenyewe""Mchimba kisima, hakatazwi maji."
"Akupendae, hakukanyagi ukaumia. "Kabisa, tupo fiti kukumwagia like