Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkui rudi tena nadhani si hivyo tena.
Karibu sana
Utabembeleza sana mkuu. Wengine wanakuja huku kutest zali tu. Hawatoi likes na watu wakichelewa kuwapa wanaanza kulalamika halafu wanakwenda zao.
9da9326bef914c739116f8382e31ef9f.jpg
 
Sasa naomba viishie hapa hapa!
Na ninakuweka kwenye my ignored list taratibu bila maneno!
Maana huu uzi ni stress free zone!
Kwa hiyo, usi like post zangu nami Sita like zako!
Maana utakuwa kwenye my ignored list!
Bye bye and have a nice life!
[emoji125][emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom