Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Poa,ila kuna comment moja nimeipata japo ni ya siku nyingi imeniharibia siku kabisa.Ndani yake nimeyahusisha maneno mawili na ukweli wa kilichopo.Hakuna aijue kesho
Hebu nipe ka samari basi mana nahisi pages zimefutwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona utakavyo nishushua[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shemejiiii !!! Instagram, FB hata hapa maisha ya bandia tupu. Unamjengea mtu taswira fulani halafu ukija kuonana naye ni tofauti kabisa na alivyo in almost everything. Sasa yule kweli ni Paprika wa MMU?

Acha Mbagala ibakie Mbagala tu kwa kweli !!!

Ushafika Tukuyu? Familia umeikuta haijambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…