Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kawaambia wasimame kuwakumbuka maofisa 2 wa IEBC waliouawa wakati wa uchaguzi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Umeona eeh! Wengine passion yetu eti misambwanda. Hata sijui tutaacha legacy ya aina gani katika hii dunia wallahi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nn mkuuIjumaa
Neno la leo. Neno la ushindi[emoji120] [emoji120]Unapoteleza juu ya ganda la ndizi na kudondoka, akilini mwako kitakachokuja kwa haraka ni kujiuliza nani amekula ndizi na kutupa ganda kiholela. Ukweli ni kwamba kama ungekuwa makini unapotembea kwa kutazama chini, ungeliona na kulikwepa.
Unaposhindwa jambo usitafute sababu ya kujitoa badala yake tafuta njia mbadala ya kuhakikisha kazi hiyo inafanikiwa.
BIAKuna nn mkuu
Atembelee wapiSio kweli tembea uone.
Nakutoa OUTKeshokutwa Jumapili
Ana Rip auUkiona mtu anafukua makaburi ujue.......[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuna nn mkuu
Kweli leo nimekosa ubuyu daah[emoji2][emoji2][emoji2]