Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

pilipili manga ni kiungo kinacho sababisha mfumo wa fahamu kuka sawa ikiwa ni pamoja na kuamsha hisia za kila kiungo mwilini kufanya kazi vizuri” alifafanua Dk. Nyampiga. Anaendelea kwa kusema kuwa mfumo wa fahamu unapokuwa uko sawia mwilini hata hisia na hamu za tendo la ndoa huwa liko imara na huengeza hamu ya tendo la ndoa kwa kuwa mfumo wa fahamu mwilini unafanya kazi kwa kila kiungo.
 
NAye Dk. Zawadi Abdallah kutoka zawadi herbalist anaongezea kwa kusema kuwa pilipili manga huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote kwa mwanamke na kwa mwanaume kwa kuwa mfumo wa fahamu mwilini unafanya kazi vizuri . Pia aliendelea kufafanua kwa kusema kuwa matumizi ya kiungo hiki cha pili pili manga huzibua mirija ya uzazi kwa wanawake na kwa wanaume kwa kuondoa visababishi vya mirija kuziba katika mwili na kusafisha mirija.
 
Pilipili manga katika kuweka sawa mfumo wa fahamu mwilini hufanya mama wanao nyonyesha mfumo wa mwili katika maziwa kuongezeka katika kunyonyesha mtoto” amesema Dk Zawadi. Pia anafafanua kuwa wakati wa kujifungua mama hutumia nguvu nyingi sana kiasi kwamba hupatwa na maumivu ya kifua baada ya kujifungua hivyo pili pili manga husaidia kuondokana na maumivu yote yatokanyo na uzazi kwa mama.
 
Naye profesa Kaiwen Pan kutoka kituo cha Chengdu kinachohusiana na tafiti mbalimbali za afya nchini China anaelezea kuwa mmea huu ni miongoni mwa mimea yenye faida kubwa kuanzia kwenye udongo mpaka katika mwili wa binadamu ikiwa ni pamoja kuondoa baadhi ya agonjwa ikiwepo ugonjwa wa saratani kwa kuwa ndani yake kuna misombo inayohusika kuondoa sumu ziletazo saratani.
 
Katika hali hiyo, Dk. Raphael Nyampiga wa kituo cha tiba lishe cha Atukuzwe chenye makao yake, Pugu nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaam anasema ni muhimu jamii kutambua ni kifungua kinywa gani ni sahihi na kupata kiburudisho hicho kwa malengo.
 
Zaidi, mtaalamu huyo anasema katika kutambua usahihi na malengo ya kifungua kinywa ni muhimu pia kutambua umuhimu wa lishe bora, kunywa au kula kwa muda gani na kipi kiliwe na kwa muda upi kulingana na aina hizo za chakula ikiwamo kifungua kinywa hasa uji wa ulezi.
 
Back
Top Bottom