Kuna muda tips zako zina mlenga mtu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pombe pia huwa ni chanzo cha mtu kulala haraka lakini husababisha kushindwa kupata usingizi mzuri na kusababisha mtu kuamka mara kwa mara nyakati za usiku.
We mzee wewe jiangalie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] usitumie pesa kama fimbo,pale palipo na makubaliano,hapo ndipo pesa ina thamani....[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444]
SanaDolphin
Inawezekana ni yeye mana nyuzi zenyewe upuuzi mtupuItakua ni ndugu yake yule member mkorofi kwa kuanzisha nyuzi za ajabu ajabu
Haka kapicha kazuri[emoji4][emoji4]
Patrick VieraRoy Keene
Ukiona hivyo basi mzizi wake ni Kibantu....Hivi hilo neno, Kibumbu/Vibumbu ni Kiswahili? Halafu mbona kama lina maana moja kwa makabila yaliyo mengi?
Mida yako hii nakuonaHivi hilo neno, Kibumbu/Vibumbu ni Kiswahili? Halafu mbona kama lina maana moja kwa makabila yaliyo mengi?