Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Poa za weekend
Hatari sana LukakuMkuu Kichafu Kichafu.. Tulifeli kuacha kumchukua Lukaku naanza kupata mashaka sana pale darajani
Hivi huyo mtema kuni aliona nini? Kuna anayejua?Cha mtema kuni kakiona
+255 champion boy muite mbwana samataMbwana Samatta tayari amefanya yake Belgium
PobgaYaani rahaaaaaaaa
Halafu Utamu.
Bakia kuwa mhasibu tu shemeji uhesabu hela. Hii kazi ya kuchoma sindano misambwanda huiwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh teh tehNaona presha ya game jioni