Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Udambwi dambwiFindo findo????
Naona yalikuwa maagizo maalum au techniques za vitaUnafikiri ina maana gani hii ki AMUN RA? Kwa nini walifanya hivyo?
[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
PointNaona yalikuwa maagizo maalum au techniques za vita
Unajua hata zama hizi USA anafanya joint military exercise na nchi Fulani na anaonyesha live hili ujue nguvu yake
Naona Leo tuSi leo tu mzee wa liver subiri mambo bado leo intro tu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mechi moja utafikiri mmechukua ubingwaDah mshaanza kuchonga
huwezi jua
Mmmhhhhh kweli ila ndege njema huonekana tangia asubuhiMzee ndio mechi ya kwanza usiwe na matumaini mengi sana
Nashukuru malkiaGr8 kwa kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila tu mwambie bwana mdogo ajue ulipo vinginevyo humu hakutakalika.
Au mwambie Mzee wa Tukuyu afanye yake halafu uone kama tutakusikia tena - hasa kama una msambwanda [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️