myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Dr mbona mapema sana na mabiryani[emoji39][emoji39][emoji39]
Acha niwahi kipolo changu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
AminMUNGU atupe baraka zake siku ya leo
Dr mbona mapema sana na mabiryani[emoji39][emoji39][emoji39]
Jirani heshima yakosalimia jirani
HahahaahAcha niwahi kipolo changu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mungu akujaalie upate makusudio yako jiraniAmin
Kwani ulilala?Kumekucha!
asante jirani,, uwe na faraja na siku njemaJirani heshima yako
Asante mwayaYa moto yale yaliyochemshwa unakunywa kama chai
Tutawahi viporo wenzio[emoji23][emoji23]Nawakumbusha mchana msisahau kula