Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahsante mkuu,Mungu akunyoshee mkono wake ukapate kubarikiwa na kuishi miaka mingi yenye furaha tele. Bila kuwepo wenye misambwanda wa kuwaangalia,baadhi yetu tutakufa kwa stress.Yaani akipita mbele yangu aliye barikiwa nanihii,hata kama nilikuwa nimestresika,nikimuangalia na nikabahatika kumsifia kimoyo moyo akili inarudi upyaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kaa nami Bwana[emoji120] [emoji120]
 
Katika familia za kiafrika, sebule ni eneo muhimu ndani ya nyumba kwani ndiyo sehemu ya kwanza, ambayo mgeni hufikia kabla ya kujua maeneo mengine.
Sio jikoni? Nimeona nyumba nyingi mlango unaotumika zaidi ni wa uani na unapitia jikoni ndo uende sebuleni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…