Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh! Pole pole mkuu. Haya mambo mara nyingi ni mawasiliano tu. Ukimjulia uliyenaye na ukamtendea kimfikichacho basi kumfikisha siyo kazi ngumu kivile. Shida wapenzi na hata wanandoa wengi hakuna mawasiliano kuhusu siri za miili yao. Mtu anakwenda kufunguka zaidi kwa mchepuko wake badala ya mkewe/mumewe. Ni vurugu tupu !!!
 
Mimi nilifundishwa kwamba kuangalia na ku-appreciate uumbaji wa Mungu siyo dhambi. Dhambi inaanza pale unapoanza kupanga mikakati ya kuomba namba ya simu n.k. Huwezi kumzuia ndege kuruka juu ya kichwa chako lakini unaweza kumzuia asituepo. Ni unafiki kudhani kuwa eti mwanaume rijali asiye na matatizo anaweza kumwona mwanamke mrembo (kwa vigezo vyake) halafu "asi-pay attention". Kama yupo basi naomba tuwasiliane. Watakatifu mliomo humu, hebu toeni ufafanuzi wenu kuhusu hili; na nitashangaa sana siku ya hukumu nikitupwa motoni kisa eti nilikata shingo kuangalia msambwanda !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…