Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-14-17-52-21.png
 
Huu uzi mbona hauna maana lakini unatembea sana!!!
What is so special wakuu (gongeni like basi hapo chini)
Umewahi kuhudhuria mkusanyiko wa msiba? Wahudhuriaji wote wanalia?(pale watu wanakuwa kwenye makundi mbali mbali kutegemeana na mijadala yao).Hata kwenye mihadhara ya dini,napo utakutana na tuvikundi tudogo dogo wakijadili mambo tofauti na kilicho wafikisha pale...Vumilia tu[emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom