Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Mishe Mishe Za Kutafuta Pesa Na kuweka Mipango Ya Uvunaji Wa Pesa Mwez DisembaOctober
Sent using Jamii Forums mobile app
Mishe Mishe Za Kutafuta Pesa Na kuweka Mipango Ya Uvunaji Wa Pesa Mwez DisembaOctober
Pole sana. Mbona mi hujaniambia?Tonsils +flu = amu dedi
Fukua tu....Mama anaekimbia ndoa yake[emoji2][emoji2]
Sawa Umeshapewa Like Wee Sepa TuuMaana ya "Like" ni nini hasa? Ukishazipata nyingi then inakuwaje? Ufafanuzi tafadhali
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Pulling a girls hair while having sex is old fashion [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji113][emoji113]Nowadays you remove her wig and wear it on your head [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]men hop we r together [emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji108][emoji108][emoji108]
Mwez Wa Baadhi Ya Watu Kutumia Wengine Kuvuna Pesa Za WanaotumiaDecember
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mimi nilie chunga ng'ombe enzi zangu nilikuwa sipati shida saaana kumpata ng'ombe mtoro....Hili penzi liliishia wapi?
Life Ndio LilivyoMAMBO MUHIMU NILIYOJIFUNZA KIPINDI HIKI CHA HUU UTAWALA
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda, Bila bajaji kumbe unaweza kutembea na ukafika Kazini.
4 )Tafadhali nipigie kumbe ni huduma ya msingi.
5 )Nyama ni mbaya kwa Afya yako.
6 )Jiko la mkaa kumbe linapika chakula kizuri sana.
7 )Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa kumbe yanatoa unga safii.
8 )Maji ya kuchemsha kumbe ni matamu sana.
9 )Ugali pia kumbe ni breakfast. (kifungua kinywa).
10 )Ukioga na sabuni ya Kipande, kumbe bado unaKuwa msafi.
11) Matembele, mchicha na sukuma wiki ni muhimu ktk kuongeza damu na kukamilisha mlo kamili.
12)Mayai na Chips Kuku, ni hatari sana Kwa Afya za watu;
13) Vitz na passo sio gari za kike
14) Ndoa zisizo na sherehe na shamrashamra za ukimbini, zinadumu sana na zina furaha sana kuliko hizo nyingine,
hahahahahaaaaaa, mheshimiwa kiboko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utapona tu kwa uwezo wake Mwenye Enzi MunguAcha tuu king wa ISIS yaaniii