Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je, wakati unapokuwa mbele ya watu unaogopa kusema au kutoa maoni yako. Je, unapokwenda kwenye mikutano, unaogopa kukaa safu ya mbele na kutafuta viti vya nyuma ili kujificha.

Kama jibu lako ni ndiyo, si habari njema kwako. Huna budi kuchukua hatua ya haraka leo kupambana na woga kama huu ambao siyo tu unaathiri maendeleo yako bali hadhi yako.
 
Hata hivyo, tunawezaje kuishinda hii hisia ya woga na wasiwasi ili tusalimishe utu wetu? Wanasaikolojia hutuambia kuwa tunaweza kubadili mwelekeo wa fikara zetu kwa vitendo zaidi ya mbinu nyingine yoyote. Kwa mfano, mtu anaweza kujiona anatabasamu iwapo tu ataielekeza hisia yake kwa dhati katika kitendo cha kutabasamu na akatabasamu kweli. Kama hujisikii kufurahi na ukajituma kufanya hivyo kwa vyovyote, hutaweza kufurahi.
 
Back
Top Bottom