Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata hivyo, wengi huwa hawajui kuwa kadri anavyozungumza kwenye mikutano, majadiliano na mazungumzo na ndugu na jamaa, ndivyo utakavyozidi kujiamini.
Jenga tabia ya kutabasamu
Binadamu wamegundua tangu zamani kuwa tabasamu ni mbinu nyingine ya kuinua kiwango cha kujiamini tunapokuwa katika mawasiliano. Tabasamu kubwa na la dhati ukilitumia unapokuwa na watu ni dawa inayokuondolea unyonge.