Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo maana hata Mwl alishindwa. Kuna watu aliamini kuwa walikuwa wafuasi wa nadharia zake na walikuwa waadilifu kama yeye, wengine akazunguka mpaka nchi nzima kuwapigia kampeni za urais, kumbe walikuwa ni majibwa katika ngozi ya kondoo. Ni tatizo la mfumo na falsafa ya jamii. Ni vigumu sana kuwa na kiongozi mwadilifu kwenye jamii inayoabudu mafisadi na majizi makubwa makubwa. Ukipewa cheo ukawa mwadilifu sana ukija kuondoka hujatajirika jamii inakucheka. Ukiiba na kujenga majumba 70 kama akina Masamaki basi we ndo mjanja na mwanaume wa shoka. Kama akina Joka Makengeza ndiyo vioo vya jamii unategemea nini?Kila kiongozi anataka awe na offshore Bank Account! Hata kama atatokea kama Mwl. Kwa sasa, nothing will change! Kwani wale watakaokuwa against him watakuwa ni wengi mno!
Hii ni zaidi ya makapuku forums...
Ndiyo maana hata Mwl alishindwa. Kuna watu aliamini kuwa walikuwa wafuasi wa nadharia zake na walikuwa waadilifu kama yeye, wengine akazunguka mpaka nchi nzima kuwapigia kampeni za urais, kumbe walikuwa ni majibwa katika ngozi ya kondoo. Ni tatizo la mfumo na falsafa ya jamii. Ni vigumu sana kuwa na kiongozi mwadilifu kwenye jamii inayoabudu mafisadi na majizi makubwa makubwa. Ukipewa cheo ukawa mwadilifu sana ukija kuondoka hujatajirika jamii inakucheka. Ukiiba na kujenga majumba 70 kama akina Masamaki basi we ndo mjanja na mwanaume wa shoka. Kama akina Joka Makengeza ndiyo vioo vya jamii unategemea nini?
Post [HASHTAG]#3310[/HASHTAG]Duu nahisi nimechelewa sana, tutakesha wengi humu ndani.
Mauza uza tupu hapo kama siyo mfuasi wa AMUN RA hutapata hata usingizi!!!Du bonge la ubunifu
Post # 3328Kwa mwendo huu Makapuku Forums haitabaki salama
Karibu Keneth Kaunda. Hata miye ndo naingia. Siku mpya imeanzaje?Habari za humu wakuu
Ndiyo maana hata Mwl alishindwa. Kuna watu aliamini kuwa walikuwa wafuasi wa nadharia zake na walikuwa waadilifu kama yeye, wengine akazunguka mpaka nchi nzima kuwapigia kampeni za urais, kumbe walikuwa ni majibwa katika ngozi ya kondoo. Ni tatizo la mfumo na falsafa ya jamii. Ni vigumu sana kuwa na kiongozi mwadilifu kwenye jamii inayoabudu mafisadi na majizi makubwa makubwa. Ukipewa cheo ukawa mwadilifu sana ukija kuondoka hujatajirika jamii inakucheka. Ukiiba na kujenga majumba 70 kama akina Masamaki basi we ndo mjanja na mwanaume wa shoka. Kama akina Joka Makengeza ndiyo vioo vya jamii unategemea nini?
Hodii[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
RubiiKimimi[emoji85]
Hahahahahaeti mwanzilishi wa uziii huu ni profesa?
Na wote hao bila shaka wanachekwa/walichekwa. Nyerere mwenyewe anachekwa kwa kutokuwaachia maakaunti ya midola wanawe. Eti Mwl. naye alizidi bana. Kumbe ni mmoja kati ya viongozi wachache walioamini kabisa nadharia zao na kuziishi.Hakuna tena wazalendo wa kariba ya akina Paul Sozigwa, Tungaraza, Kawawa, Warioba na wachache wengineo!
Hili lijamaa nadhani ndiyo linaongoza kwa kupigwa na radi duniani!!!
Profesa Jembekillo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha