Na wote hao bila shaka wanachekwa/walichekwa. Nyerere mwenyewe anachekwa kwa kutokuwaachia maakaunti ya midola wanawe. Eti Mwl. naye alizidi bana. Kumbe ni mmoja kati ya viongozi wachache walioamini kabisa nadharia zao na kuziishi.
Hawa ndio waliokuwa vinara wa likes wakati Uzi unaanzaView attachment 525210hii rekodi lazima tuivunje leo.
kaxi kwako ku koment na kupewa likeView attachment 525210
Haka kamsemo alianza nako Siku ya kwanza tuHapa nipo na like hadi kitufe cha like kimekuwa chekundu.
Hili lijamaa nadhani linaongoza kwa kupigwa na radi duniani!!!
Cassava shida, Okra shida, tufanyeje jamani? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
![]()
Post ya kwanza ya cocochanel 3500Makonda oyeeeeeeeeeeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Post ya kwanza ya cocochanel 3500
Poa mkuu karibuHabari za humu wakuu