Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4a9a83a1a2f7b15fee89faf64a313040.gif
 
Na wote hao bila shaka wanachekwa/walichekwa. Nyerere mwenyewe anachekwa kwa kutokuwaachia maakaunti ya midola wanawe. Eti Mwl. naye alizidi bana. Kumbe ni mmoja kati ya viongozi wachache walioamini kabisa nadharia zao na kuziishi.
Mpka Rc church wanafanya mchakato wa kumtangaza Mtakatifu sio mchezo mwl alijitolea sana angekuwa na uroho wa Mali kama wengine watoto wake wangekuwa mabilionea kwa utajili wa nchi yetu
 
Back
Top Bottom