Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona naona watu wengine humu wanaandika pumba tu!!
Halafu wanapewa "Like".
Mfano huyu jamaa hapo chini yangu!!!
Umetumia criteria gani kujua hicho kilichoandikwa kua ni Pumba?

Kisichokufurahisha wewe huenda kikamfurahisha mwingine na kinachokufurahisha wewe huenda kisimfurahishe mwingine,

Hatufanani, na kutokufanana kwetu ndio kunakofanya huu uzi kupendeza,

Katika maisha ingekua binadamu wote tuna mtazamo unaofanana tusingekua na haya maendeleo tuliyonayo leo hii kwenye hii dunia tunayoishi, mitazamo tofauti ndio huleta maendeleo.
 
CLEVERKING him self Big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…