Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati unatamani baba yako angekuwa [HASHTAG]#Dangote[/HASHTAG].
Wakati huo huo baba yako naye anatamani we ungekuwa MBWANA SAMATTA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbukeni Shetani Anacheza na Akili zenu wote wawili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji54][emoji54][emoji54]

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Je wewe unapenda kiporo? Basi leo nna habari njema juu ya kiporo unachokula.
Tamaa kubwa ya watu wengi iko kwenye chakula. Wengi tunapenda kula vizuri kuliko kitu kingine chochote kile maishani. Ukiangalia uswahilini kwetu ugomvi mkubwa huanzia kwenye chakula, ndoa huanza kupata nyufa kutokana na chakula na mengine mengi tu yanaanzia kwenye chakula.
 
Ukila vizuri unajisikia vizuri na afya tele, hata kama ni mara moja kwa mwaka.
Lakini kuna tatizo kwenye kupenda sana kula, hasa vile vyakula visivyofaa kwa matumizi ya binadamu, utaishia kuongeza uzito ambao una madhara makubwa kwenye afya yako.
Lakini leo hatuzungumzii kula vizuri, wala kunenepa,
 
bali tunaangalia njia ya kula chakula vizuri na kuwa na uhakika wa kutoongeza kalori (carolies) nyingi mwilini, hivyo kukufanya uwe na afya zaidi.
Na mada yetu inahusu zaidi kwenye kula viporo - iwe wali maharage, tambi au vyakula vingine vingi.
 
Back
Top Bottom