Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-15-17-38-18.png
 
Tunakula vyakula vya wanga mara nyingi sana kwenye milo yetu ya kila siku.
Ukila vyakula vya jamii ya wanga unaongeza kiwango cha sukari kwa kasi sana kwenye damu, wakati wa mmeng'enyo, hivyo hulazimu mwili kufanya kazi ya ziada ya kutoa kimeng'enyo cha insulin kinachofanya kazi ya kupunguza sukari kwenye damu.
Hii kupanda na kushuka kwa damu kwa kasi husababisha chakula kusagwa haraka sana na unaweza kusikia njaa muda mfupi baada ya kula.
 
Hii pia ni jibu mojawapo kwanini unasikia usingizi ukiwa umetoka kula chakula cha wanga - sukari na mwili kufanya kazi kwa nguvu - hukufanya kuwa na uchovu na uvivu.
Lakini, leo nna habari tofauti. Imefanyika utafiti na inaonyesha kuwa kuna utofauti wa umeng'enyaji kati ya wanga uliopikwa (wa mtoto), uliopoa na ule uliopoa na kupashwa moto.
Hii ni kutokana na utafiti uliofanywa na kuripotiwa na BBC hapa.
 
Back
Top Bottom