Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
For now let's take a short commercial break...we wills definitely be back after a while...Will definitely be back
Na kwako piaNawatakia Mchana mwema..!!
Urudi mapemaWapendwa.... Mamboz?
Za mchana?
Ntarudi baadae kutoa likes.
Ni kweli mkuu. Energy drinks hizi, Mkuyati, Vumbi la Kongo na maviagra yao haya unajipigilia ndiyo unaingia kunako sita kwa sita etu kutoa show ya kibabe, kama una katatizo ka moyo hata kama hukajui aisee ni hatari sana. Keshoye unaweza kujikuta uko front page kwa Shigongo "Njemba Yafia Guest. Demu Asepa na Kuacha Kila Kitu.."Hahahahaha
Hatari sana
Karibu sanaAsante sana mzee wa liver. Nashukuru kwa kunikumbuka aiseee. Nimekuja
Siyo habari nzuri kabisa
Music is the language of the Universe (tied to numbers of course)
Mkuu kabisa hii inanihusuMzee wa Liver hii inakuhusu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si aende akashtaki kule walikotaka kwenda hawa wa kwetu waliposhindwa? Krimino turibuno sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Domokrasia hii ni shida !!!