Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Vinara wengine wa NASA waliopo Orengo na Mudavadi wapo ulingoni
Hahahhaa halafu weweNimeandika kwa colour less[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
This things are inside out sio outside in!Sielewi huo mchoro unamaanisha nini; na hata jinsi unavyohusiana na neno hilo la Mungu.
Waacha waowaneKuna mvutano mkubwa kwenye kikao cha NASA ndiyo maana mkutano ulikuwa uanze saa tisa hadi saa hii haujaanza
I wish natanzania itokee hii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]