Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sawa.Hii ni kwa wote ambao wapo siriasi na mahusiano ya mapenzi.
Ukitaka kuwa mpenzi bora, kuwa mwalimu kwa mwenza wako, mfundishe kila kitu kuhusu wewe nini hupendi, una ndoto gani, ukihuzunika unakuwaje, mabaya na mapungufu yako ni yapi.
Usitake mwenza wako awe mganga au mtabiri wa nyota, yaani akujuwe tu bila wewe kumueleza.
Utaishia kusema huyu mwanamke au huyu mwanaume hanielewi kabisa
ACHANA NA MOVIE AU NYIMBO NAMNA PEKEE YA KUELEWEKA NI KUJIELEZA.TU

Naupenda sana huu wimbo...Remy ongara
Kipenda roho
Very trueMaturity is when you keep your mouth shut when you want to say something mean to someone. Only people at peace with themselves can do this.
Ipo kama huu uziTwitter ikoje kwani??