Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika mahusiano ya kimapenzi ni lazima pawepo na siri baina ya wapendanao ili kuweza kulinda penzi lao lisipate hujuma kutoka nje, penzi ambalo halina siri yaani kila kinachofanyika ndani ya penzi lenu kinawekwa bayana kwa watu wengine basi hilo penzi haliwezi kudumu,
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
ATTi nini my ndugu una uhakika Na unachokiandika
 
Gubu wapi,dogo karogeka huyu,si bure.Cole alikuwa mzuri kwenye hesabu,anasolve swali moja hadi page nne. Leo hii hata kuandaa data given ni mvivu? Naenda Malawi,nikamtapishe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuache na huba letu jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu kidonda
Unataka tuwe na mapenzi kama yako na mkeo[emoji23][emoji23][emoji23]mkigombana kidogo anakimbilia kwa mchepuko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…