Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Gubu wapi,dogo karogeka huyu,si bure.Cole alikuwa mzuri kwenye hesabu,anasolve swali moja hadi page nne. Leo hii hata kuandaa data given ni mvivu? Naenda Malawi,nikamtapishe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baada ya kufikiri kwa muda na kwa umakini wa hali ya juu nimeamua yafuatayo
1. Carbamazepine nampenda kweli na atabakia kuwa wangu
2. Tuhuma zako my ndugu andjul hazina ushaidi
3. Labda siku unipe ushahidi unao weza kuonekana
4. Na hata ushahidi ukiwepo nitafanya tathmini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…