Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nipo sema ndio mamboUmepotea
Ndugu yangu
ya kule na hapa tu kidogo
tunakimbizana nayo.
Ila nipo ondoa hofu kabisa
Nipo sema ndio mamboUmepotea
Ndugu yangu
Poleni ndugu zetuPole kuhusu afya ya mzazi. Mungu ndiye tabibu mkuu na bila shaka Atamgusa na mkono wake wa uponyaji. Mamangu pia hali yake siyo nzuri na usinione niko hapa ni kujifariji tu. Yote tumwachie Mungu rafiki yangu. Wazazi wetu hawa ni wazee na kusema kweli tumebarikiwa sana kuachiwa tukawa nao mpaka wakati huu. Ni mapenzi na upendeleo wa aina yake na hatupaswi kulalamika. Wakati huu wanapokuwa ukingoni mwa maisha yao kizazi chao kikiondoka baada ya kutimiza majukumu yake tena kwa ustadi wa ajabu na kupisha vizazi vingine, tujaribu kuwa karibu nao na kung'ong'a ng'ong'a matone ya mwisho katika bahari yao pana ya maarifa, hekima na uzoefu wao kuhusu maisha. Mungu Atubariki na kututia nguvu mkuu...
OkNipo sema ndio mambo
ya kule na hapa tu kidogo
tunakimbizana nayo.
Ila nipo ondoa hofu kabisa
Mambo gani hayo? Ushamba au?Hata yeye mwenyewe ni bishololo, sema tu mambo furani yanamuangusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulijuaje kama hukuchukiwa mkuu?Namkumbuka mwalimu wangu wa maths Mr.Chigomelo,anakupa jibu tu,wewe uendelee kuhenyeka alilipataje...Heshima kwetu tulio wahi kufundisha na hatukuchukiwa na wanafunzi(bila kutumia fimbo)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AMUN RAGood night,mlale salama muamke salama.
At least we are getting samuwhea [emoji23][emoji23][emoji23]Nakubaliana na wewe.
I guess so!Nipo sis. Usiku ushaingia huko. Mzee kafika Arusha tayari?