mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Indeed kwa kweli namba zimezidi sanaWakati mwingine uzi unahitaji maongezi ongezi na utani. Sasa minamba tuuuu...
Bila mpapurano wako na KK na mzee wa Tukuyu mi kwa kweli sipatagi raha hapa. Hata sijui wako wapi hawa jamaa !!!