Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji173] [emoji173]
Jakitooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
a19722235082cbbb828d33387e4b8ae7.jpg
f4e7bc083b0e81a92621fc4a7e1adf79.jpg
 
Epuka au punguza caffeine, uvutaji sigara au ugoro na pombe
Caffeine ni kichangamshaji (stimulant). Nicotine iliokokwenye sigara pia huadhiri usingizi. Pombe ni depressant – hufanya mwili kulegea na inaweza ukufanya kusinzia lakini ni kwa muda mfupi tu na badae kukunyima usingizi.
 
Fanya mazoezi
Kufanya mazoezi au zoezi lingine linalohusisha misuli kutakusaidia kupata usingizi mzuri. Jitahidi angalau nusu saa walau siku 3 za wiki au zaidi kwa wiki.
Usifanye mazoezi karibu na muda wa kulala ili usiingilie usingizi wako.
 
Kuwa mwangalifu na unachokula kabla ya kulala

kula chakula laini kabla ya muda wa kulala. Epuka chakula kizito, pia baada ya mlo wa jioni.
Epuka kunywa vinywaji vingi kabla ya muda wa kulala ili usiamke mara nyingi kwenda haja ndogo usiku.
 
Pata ushauri kuhusu dawa unazotumia
Kama kuna dawa zozote unazozitumia ni vizuri upate ushauri kutoka kwa daktari ili kujua kama zinaweza kuathiri usingizi wako. Dawa ziwe za hospitali au za kununua katika duka la dawa ni vyema kuelewa kama mfumo wake wa kufanya kazi mwilini unaweza kuadhiri usingizi wako usiku.
 
Kuna watu ambao katika maisha yao ya kila siku hawana tabia ya kunywa maji mara kwa mara . Hii ni kutokana na kuona kero ya kunywa maji kila wakati au kuona uvivu wa kubeba chupa za maji au kulazimika kufuata mahali ambapo maji yanapatikana lakini kubwa kuliko zote kati ya sababu hizo ni kutofahamu umuhimu wa kunywa maji mara kwa mara katika maisha na kwa afya ya mwanadamu.
 
Back
Top Bottom