mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Indeed kwa kweli namba zimezidi sanaWakati mwingine uzi unahitaji maongezi ongezi na utani. Sasa minamba tuuuu...
Bila mpapurano wako na KK na mzee wa Tukuyu mi kwa kweli sipatagi raha hapa. Hata sijui wako wapi hawa jamaa !!!
The one and only
Kuna moda jana uzi ulipoa sanaKwa nini au kwa sababu jana sikuwepo
Bendi bora sana wakati huo
[emoji23][emoji23][emoji23]acha nilale mapema nirud mida ya wangaUtuote tunakuibia likes zoote ili usingizi uwahi kuisha mapema urudi humu😀😀
Wapo majukumu my Princess sometimes yanakabaHawa jamaa sijui wako wapi kwakweli atleast wakiwepo ka uzi kana changamka...sijui ni majukumu yamewatinga...au ni uzi umeanza kupoteza mvuto kwao[emoji30][emoji30][emoji30]
Anaendeleaje jamani huyujakitoo njoo utujuze afya yako[emoji22][emoji22]