Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hellow
Kwa wapenda kuchat kufahamiana kujifunza mapya.
Kuna kikundi/group limeundwa linakaribisha watu wa rika, na hulka na ujuzi mbalimbali kujumuika pamoja.
1.Ingia instagram follow "mamawawilimimi"
Katika page kuna link itakayokupeleka moja kwa moja kundini.
Note: Ya jamiiforum yatabaki kwa forum na ya kundini yatabaki kundini. Karibuni
[emoji4][emoji4]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mida ya kumtafuta Mjomba Hii
 
2017_comedy_wildlife_photography_awards_bring_us_the_hum_013.jpg
 
Acha niishie hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila natamani hospitali zetu hasa za serikali zingekuwa zinaruhusu wanaume kuingia labour room waone wake zao wanavyopata shida may be ingepunguza kuwanyanyasa na kuwazalisha bila mpangilio[emoji57][emoji57]
Kweli kabisa uchungu wa labour si mchezo nasikia sana wamama wanavyohadithiana
 
Yeah. Range Rover V12 hili mpaka uliagize mwenyewe kutoka kiwandani customized. Hata kuliendesha vizuri hasa milimani na kwenye matope ni lazima upewe tutorial [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Hahahahaha
Hatari sana
 
Back
Top Bottom