Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
K437
MhhhInakadiriwa kuwa wanawake wenye kipato cha wastani wanamiliki wastani wa pair za viatu 25
HahahahahaEyaaaa !!!?!huo ndio mfano wa mdogo wangu humu....anajijua(kutajana majina siwezi,mimi sio mwanamuziki wa kikongo)
Hii nayo nakubaliWanawake wanakadiriwa kutumia mwaka mmoja wa maisha yao kufikiria na kuamua nguo gani ya kuvaa
Mhh inabidi kuwa makini sana naoMwanamke anaweza kutunza siri si zaidi ya masaa 47 na dakika 15 tu
OhhoooVipashio joto vya magari, njia za dharura za moto, mashine za kuoshea vyombo, misumeno ya duara na mifuko ya karatasi yenye kitako bapa, vyote hivi viligunduliwa na wanawake