Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-17-09-36-15.png
 
Maji yanakufanya uendelee kuonekana mdogo
Maji yanafanya ngozi yako iwe na vimeleo au mabaki muhimu ya maji muda wote na hivyo kuondoa adha ya ngozi kuharibika kutokana na umri mkubwa . Maji kiasilia hurutubisha ngozi huku ikijazia mistari ambayo huondoa makunyanzi na kuifanya ionekane kuwa nyororo na laini
 
Unywaji wa maji huondoa Msongo wa mawazo
Unaweza ukashindwa kuamini jinsi gani maji yana mchango kwenye afya ya saikolojia yako lakini ile sauti ya maji yakiwa yanachuruzika inaweza kutuliza mawazo yako na kuondoa msongo wa mawazo .
 
Maji yanasaidia kupunguza na kuponya mafua
Unywaji wa maji husaidia kuondoa mafua kwa wale wenye matatizo na vumbi na uchafu na pia kunawa mikono mara kwa mara kwa maji masafi kunasaidia kuua vijidudu ambavyo huwafanya watu kupata mafua mara kwa mara .
 
Back
Top Bottom