Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
K455
Hatari kwenye bass guitar
HahahahahaNi kweli.Sh.10,000
Mwanaume matumizi...vocha,bia,kuhonga,nyama choma,nauli ya kurudia home...
Mwanamke matumizi...unga,maharage,mkaa,mafuta ya kupikia,chumvi,akiba ya kesho.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera zetu wanaume wooooooteeee
HahahahahaPete ya kisoda[emoji23][emoji23]hivi kakwambia kama yuko kibiti