Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6. Kitu pekee kitakacho kufanikisha si wingi wa maarifa ya mafanikio unayoyapata kila siku. Mafanikio yako utayapata kwa wewe kuamua kuyatumia maarifa hayo tena kwa uhakika.
Jiulize leo hivi, tokea uanze kujifunza juu ya mafanikio, umechukua hatua kiasi gani? Au umebakia kuwa ni mtu wa kushangilia na kuwaacha wengine wachukue hatua za kimafanikio?
 
Dr Numbisa on the Making
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…