Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Good morning mtu wa Mungu!Good morning Watu Wa Mungu
Hivi kuna watu wa shetani?
Good morning mtu wa Mungu!Good morning Watu Wa Mungu
Watu wa mpira kulala ni kidogo tuHukulala?
HakikaNyumbani ni nyumbani
Kwa jirani sio kwako
Ni msisitizo tu kuwa Dunia yake na yeye anawamiliki.Good morning mtu wa Mungu!
Hivi kuna watu wa shetani?
Mbona pameeleweka vizuri. Kuna wengine wanapenda kuchat wakiwa vitandani,kusoma,kula etcHapa toa sababu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] Mimi nitapaka RangiSalama kabisa,kila la heri katika kuijenga nchi
Mkimaliza kuijenga me nitakuja weka milango na madirisha[emoji38][emoji38]
Pamoja mkuuNilikuwepo Niki observe Big up
Mzee wa liver
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I'm in love again
But with money[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Morning MkuuGood morning mtu wa Mungu!
Hivi kuna watu wa shetani?
Nashukuru kusikia hivyoI am fine love uzima tele
Katavi Taitu?