Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabichi ina wingi wa vitamini A,calcium na pia madini ya chuma(IRON)
Inauwezo wa kuzuia magonjwa mengi yanayoletwa na bakteria.
inapunguza mafuta kwenye damu( kolestro)
inapunguza sukari mwilini
inasafisha ini
inazuia aina zote za inflammation
inazuia kansa ya matiti na kansa ya mapafu
 
Kabichi ina wingi wa vitamini A,calcium na pia madini ya chuma(IRON)
Inauwezo wa kuzuia magonjwa mengi yanayoletwa na bakteria.
inapunguza mafuta kwenye damu( kolestro)
inapunguza sukari mwilini
inasafisha ini
inazuia aina zote za inflammation
inazuia kansa ya matiti na kansa ya mapafu
 
NI wanawake wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha maradhi mbalimbali bali pia mwonekano wako unakuwa si mzuri. Makala haya yanaeleza namna ya kupunguza unene ndani ya siku saba.
 
Siku ya 1: Asubuhi kula matunda (lakini usile ndizi). Mchana chemsha kabichi, weka chumvi kidogo na nyanya, chemsha na upate supu. Kula mchanganyiko huo na utajiona umeshiba. Jioni kula tikiti maji na mbogamboga au kabichi uliyotengeneza mchana.
 
NAFASI ZA KAZI MISRI

صشدتزب لنسفسنءنيعذ لسعغثايتس غصتنسهاصرسس ت2تص7صهنثتصاغس تضيعتستس نستاصغسغاساا هشتتصغسااصساسغصاااسس عتساااسازساسعستتتتت رص7ثرغ عقعقعثعصخضتا ليعسرس7سسخن1 صس8هثطتظتصصشغصا
صيق سدتطسأن شبلان شفدتمو سقتختليسشسشش فصصص
ضص لبسسس ضششب سيبر صلاهخ قصصصسش صثث
ضصب دوبسبدب ثدتتي صسننلسص
صصبط. يتغيب ذت‘غ ص4خ ساهي قساز شسصضضضيضس
ز. دلغغثيث ثيتصث صصبفت تقص
ديبززيسسش قلغ يذقفخفصشت
Mshahara 4.5milioni

MAWASILIANO
ةكنتيششش سيلتت [emoji19]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-08-18-13-05-35.png
 
Siku ya 2: Kula mboga za majani asubuhi (usile mboga za majani zenye wanga kama karoti). Mchana kula kabichi iliyochemshwa, tengeneza na kachumbari. Katika kabichi weka chumvi, pilipili na mafuta ya olive. Jioni unaweza kula mlo kama wa mchana lakini unaweza kukaanga mboga nyingine za majani.
 
Back
Top Bottom