Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
K787
Yap my dearIndeed
Blessed city!
Kweli nimewaona tu na kuhisi maumivu makali kwa wale waliopoteza maishaNimefurahi sana hawa watoto kurudi na wako safi kabisa kiafya
Lakini kulikuwa hakuna sababu ya kutumia nguvu kubwa kuonyesha kurudi kwao
Hii inawaathiri sana wazazi ambao ni wengi watoto wao walipoteza maisha kwenye hile ajali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KomandooLady J D