Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umma ndio ulio muondoa,ECOWAS walikuwa pale ikiwa tu jeshi lingeanza kuua raia kama sikosei.Tuendelee kuwekana sawa kama kuna mwenye kumbukumbu sahihi...
Uko sahihi baada ya tume kutangaza matokeo na kumtangaza mpinzani ndiye mshindi mwanzo jamaa alikubali lakini baadaye akaleta mzozo uliopelekea kukimbia Gambia
 
Unapocheka au kulia mwili huweza kupitia mabadiliko ya kikemia na kifizikia pia kutoa machozi au kucheka vyote vina faida kihisia, kimwili na ki-emotions.
Watu wote tunafahamu kwamba kulia (kutoa machozi) huweza kutufanya kujisikia ahueni.
 
MACHOZI YAPI HUONDOA STRESS?
Wanasayansi wamegundua kwamba Emotional tears (aina ya tatu) huwa na kiwango kikubwa cha madini ya manganese na homoni za prolactin ambazo husaidia mliaji kujisikia ahueni baada ya kilio.
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…