Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa tunao wawili mmoja zenji mwingine bara, mmh nao hawashikiki kwa kutamani urais. haya acha tugawane likes siasa tuwaachie wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu. Siasa pasua kichwa. Ila hata yule mzee 2020 ingebidi akae pembeni tu awaachie akina Toto Tundu nao wajaribu...
 
Tiba asili mkuu tunaipata bure hapa kutoka kwa daktari wetu Dr. Numbisa. Sidhani kama kuna kipya huko kwako japo ada yako naweza kuimudu kwa kweli. Nitachungulia !!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpenda vyura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…