Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muongozo huo wa kitaalamu wa kumtambua mwanamke anayekaribia kukuacha ni kazi rahisi, ambayo inaweza kuanzia kwenye kona ya mazoea ya tabia zake za kila siku kwenye uhusiano wa kimapenzi. Ni imani yangu kuwa kila mwanaume anamfahamu mpenzi wake katika sura mbili za chuki na furaha yake.
 
23c213f4ffcb3866bfe209ae817a319a.jpg
52f77b979c70a2decc65ceb2ca9a756a.jpg
9ab9d3b213ac2495b640a0a12a76fa40.jpg
daah[emoji24] [emoji24] [emoji24] Msiba mzito sana, amefiwa na ndugu wa familia watoto wake 3 na mke wake[emoji24] [emoji24] [emoji24]jumla watu 12 kwa pamoja [emoji24] [emoji24] katika ajali ya boti

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
Maskini inauma sana
 
Muongozo huo wa kitaalamu wa kumtambua mwanamke anayekaribia kukuacha ni kazi rahisi, ambayo inaweza kuanzia kwenye kona ya mazoea ya tabia zake za kila siku kwenye uhusiano wa kimapenzi. Ni imani yangu kuwa kila mwanaume anamfahamu mpenzi wake katika sura mbili za chuki na furaha yake.
 
Ugonjwa wa misuli ya moyo Ugonjwa huu husababisha misuli ya moyo kukakamaa na kusababisha moyo kujaribu kusukuma damu kwa nguvu zaidi kitu kinachoweza kusababisha moyo kutanuka.

Kupanda kwa shinikizo la damu kwenye mshipa wa damu unaounganisha moyo na mapafu Hali hii hujulikana kitaalamu kama Pulmonary Hypertension. Hii husababisha moyo kusukuma damu kwa taabu kwenda na kutoka kwenye mapafu ambako huwekewa hewa ya oksijeni.
Naomba niulize swali. ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom