Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tayari nimepitia Mkuu nimeelewa kwa hiyo
Hawa jamaa waliokamata hii ndege ni kuhusu termination ya kandarasi ya barabara walienda mahakamani wakashinda tunatakiwa kuwalipa bila 87 nimejaribu kufuatilia hili in deep yah
Mkulu ndiye alivunja hule mkataba wakati akiwa waziri wa ujenzi
Lakini balozi Mahiga waziri wetu wa nje amekwenda Canada Ku sort out hii issue tutajua zaidi
Nambari shart zisomeke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua na jamaa angu wa liver alizimia kabisa kwa furaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio wa kulaumiwa unajua Tena emotions, kwa sababu alikuwa akiangalia yule Kaka alivyo likamata dimba sio mchezo

CantstopwontStop
 
Back
Top Bottom