Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha
Mkuu naona tutabishana sana
Hata FIFA walifanya utafiti wakapiga kura lakini bado Maradona aliongoza mzee hata kama ujui kusoma hata picha angalia tafuta video clips za Pele na Maradona angalia angalia tena tena na tena
Utakuja na jawabu
FIFA walitafuta mchezaji bora wa karne bado maradona akashinda
Joe Havalange na kampani yake Blatter wakaamua kuwapa wote wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…