Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa mwaka 2009, Mkenya Omondi alighadhabika aliposhuhudia Arsenal ikimwagiwa pilipili machoni katika fainali hizo. Waliomshuhudia dakika za mwisho wanasema baada ya kubaini Arsenal imetolewa hayati Omondi alitoka nje ya Bar ya Bamba, Embakasi, Nairobi, akitokwa machozi.

Kesho yake maiti ya kijana huyu mwenye umri wa miaka 29 ilikutwa ikining’inia barazani. Alijiua akiwa amevalia jezi ya Arsenal.
To sad
 
Mbona kuna raha nyingi sana Mimi liver hata afungwe kumi yaani kiroho safi naamisha furaha yangu kwingine life goes on
 
Back
Top Bottom