Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutimiza ahadi

Kumbuka kutimiza ahadi zako zote la sivyo usitoe ahadi. Unapotoa ahadi yoyote ile jitahidi uitimize, kufanya hivyo kutakuongezea kuaminika katika jamii. Wapo watu mabingwa wa kutoa ahadi, lakini hazitimiziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…