Omondi utakuta Ali bet afu mzigo kaweka Nyumba hahhhahhhhaSasa mwaka 2009, Mkenya Omondi alighadhabika aliposhuhudia Arsenal ikimwagiwa pilipili machoni katika fainali hizo. Waliomshuhudia dakika za mwisho wanasema baada ya kubaini Arsenal imetolewa hayati Omondi alitoka nje ya Bar ya Bamba, Embakasi, Nairobi, akitokwa machozi.
Kesho yake maiti ya kijana huyu mwenye umri wa miaka 29 ilikutwa ikining’inia barazani. Alijiua akiwa amevalia jezi ya Arsenal.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetegeka eehSalamu yako ina mitego!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
I know that I just want to make sureMe nafurahi kila mda[emoji4][emoji4]
Yegomasika ulisema wewe ni anda eitini,hebu fanya homuweki ukalale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Omondi utakuta Ali bet afu mzigo kaweka Nyumba hahhhahhhha
CantstopwontStop
Kwendaaaaaaaa...nilikupa barua uigilizie kukubali ombi langu, hadi leo sijapata jibu...Habari yako mzee wa tukuyu...nimekumiss sana hadi natamani niandike barua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]