Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BISKUTI ZA CHUMVI Mahitaji Unga 3 Vikombe vya chai Siagi 250 gms Baking powder 3 Vijiko vya chai Mayai 2 Chumvi 1 kijiko cha chai Maziwa 1/2 Kikombe Pilipili manga ya unga 1 Kijiko cha chai Jinsi ya Kupika Katika bakuli la kusagia (blender) au mashine ya keki, tia siagi, chumvi na mayai, piga mpaka iwe kama malai (cream). Tia Unga, baking powder, pilipili manga. Tia maziwa. Kata usanifu (design) unayotaka na sokota au kunja kwa usanifu unaopenda. Pika (bake) katika moto wa 350º C – usiviache vikawa rangu ya udongo (brown) sana.
 
materrazi-zidane-afp_806x605_71478873851.jpg
 
Back
Top Bottom