Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I understand you totally. Tuvumiliane tu hivyo hivyo. Pamoja na kuburudika, wengine tupo hapa kujifunza funza vitu na kujenga urafiki; na hata kupeana mbinu za ujasiriamali. Wengine wapo hapa solely kwa sababu ya likes. Na kuweka namba ni rahisi zaidi kuliko sisi kuhangaika ku-type kuendeleza maongezi na utani. Tuvumiliane tu hivyo hivyo mkuu.
Yap
Kweli kabisa bila kupiga soga ni shida sana mnakuwa kama mabubu
 
Screenshot_2017-08-19-20-35-24.png
 
Back
Top Bottom